Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Jinsi yakupata msaada mpendwa wako anapokuwa na uraibu wa kamari

Mteja ashiriki katika mchezo wa kamari

Mteja ashiriki katika mchezo wa kamari Source: AAP

Hakuna tiba kwa suala la uraibu wa kucheza kamari.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Hakuna tiba kwa suala la uraibu wa kucheza kamari.


Ila wakati jamaa na marafiki wa watu wenye matatizo yakucheza kamari wanapata msaada unao faa, wanakuwa na uwezo wakuwasaidia wapendwa wao kupona.

Nchini Australia, msaada unaweza patikana katika lugha yako.

Kama unahitaji msaada pigia simu mashirika haya yanayo toa msaada bure:

· National Gambling Helpline on 1800 858 858

· National Debt Helpline on 1800 007 007, or

· Lifeline on 13 11 14


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now