Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mashujaa wa Kenya wakumbukwa nchini Australia

Mashujaa wa Kenya wakumbukwa nchini Australia
Baadhi yawana jumuiya wa Kenya wa NSW katika maadhimisho ya siku ya mashujaa, katika bustani ya Mt Annan, NSW, Australia Source: SBS Swahili

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Wanajumuiya yawa Kenya wanao ishi NSW walijumuika katika bustani ya Mt Annan pamoja na Balozi wa Kenya nchini Australia.

Katika hotuba yake M.E. Isaiya Kabiira aliwahamasisha wanajumuiya hao, wazingatie umoja, upendo na heshima licha ya tafauti zao zaki kabila au siasa.

Mashujaa Day huadhimisha ulimwenguni kote na waKenya wanao waenzi mashujaa walio pigania uhuru wao.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now