Kiongozi mpya mteule wa jimbo la Queensland Annastacia Palaszczuk, ametengeza historia kwakuwa mwanamke wakwanza kushinda awamu yatatu madarakani nchini Australia.
Chama cha Labor kinatarajiwa kurejea mamlakani kuunda serikali ya wengi jimboni Queensland, baada ya uchaguzi wa jimbo ambao ulitawaliwa naswala la usimamizi wajanga lakimataifa.
Kwa matokoe kamili ya uchaguzi huo, tembelea tovuti ya tume ya uchaguzi wa Queensland (Queensland Electoral Commission)
Share






