Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilihudhuria mkutano maalum katika kitongoji cha Auburn, ambako shirika la KISWA lili alika wataalam tofauti, kuzungumza na wanachama wao kuhusu mada tofauti ambayo zinazo wahusu wanachama wao. Viongozi wa shirika hilo wali eleza Idhaa wa Kiswahili ya SBS kuhusu taarifa iliyo tolewa kwa wanachama.
Share






