Wakazi wa Jimbo la NSW hasa mji wa Syndey wameendelea kufungiwa ndani kwa kile kilichoelezewa na wananchi hao kuwa ni sheria ngumu ndefu kutokea nchini humu. SBS ilizungumza na mmoja wa wafanyabiashara Bw Hamisi Babu Kumbuka ambaye alidodosa kuhusiana na kufungiwa huko kunavyoathiri wafanyabiashara. Gonga hapa kusikiliza zaidi.
Share






