Kura ya Maoni ya Voice: Ni nini na ni kwa nini tunaifanya?

Aboriginal, Australia and Torres Strait flags

Credit: Scott Barbour/Getty Images

Je wajua kwamba wa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait hawa tambuliwi ndani ya katiba ya Australia?


Serikali ya shirikisho ime itisha kura ya maoni kwa wa Australia kuamua, kama wangependa kufanyia katiba mageuzi nakujumuisha 'sauti yawa Australia wa kwanza bungeni'.

Kwa hiyo, kura ya maoni ni nini, nani anastahiki kupiga kura nchini Australia na, Sauit kwa bunge itafanya nini?

Serikali ya shirikisho inawaomba wapiga kura wanao stahiki, wa amue kama wata boresha katiba ya Australia ili iwatambue wa Australia wa kwanza, kupitia tume ya uwakilishi itakayo julikana kwa kimombo kama ‘Voice to Parliament’.

‘The Voice’ litakuwa ni kundi litakalo pigiwa kura kuishauri serikali kuhusu maswala na sheria zinazo wa athiri wa Australia wa kwanza.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service