Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Australia Yafafanuliwa: Jinsi makazi ya umma na ya kijamii yanavyo tumiwa nchini Australia

Public housing

Kupata mahali pa kuishi pazuri na pa bei nafuu kunazidi kuwa vigumu kwa watu wengi kote Australia.


Published

Updated

By Zoe Thomaidou

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Kupata mahali pa kuishi pazuri na pa bei nafuu kunazidi kuwa vigumu kwa watu wengi kote Australia.


Je, unajua kwamba nyumba tatu kati ya nne za umma ziko katika miji mikubwa? Au kwamba nyumba za umma na miradi ya makazi ya jamii yote ni sehemu ya mfumo mmoja wa makazi ya kijamii?

Katika makala haya utajifunza jinsi usaidizi wa nyumba za kukodisha unavyofanya kazi nchini Australia. Jua cha kutarajia ikiwa unampango wa kuomba nyumba za kijamii na wapi pa kupata msaada. Pia, jitayarishe kwa ajili ya kuangamiza hadithi za uwongo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now