Muswada huo umepitishwa ndani ya Seneti na sasa utakuwa sheria.
Chama cha Labor chakubali kupitisha muswada wa serikali wa makato ya kodi

Will you be as happy as Senator Jacqui Lambie about the tax cuts package? Source: AAP
Chama cha Labor kime kiri kimeshindwa kuzuia kupitishwa kwa mpango wa chama cha mseto wa makato ya kodi, nakuapa kufanyia tathmini hatua ya tatu ya mpango huo wenye thamani ya dola bilioni 158 katika uchaguzi mkuu ujao.
Share