Chama cha Labor chakiri kushindwa

Jim Chalmers says Labor's priority is to get the first stage of the government's tax plan passed. Source: AAP
Mapendekezo ya kodi na mchanganyiko wa ujumbe juu ya sekta ya makaa ya mawe yalikuwa sababu kuu za kushindwa kwa Labor katika uchaguzi wa shirikisho wa mwezi uliopita huko Queensland.
Share