Kiongozi wa upinzani Bill Shorten amezindua kampeni ya uchaguzi mkuu katika eneo la magharibi ya Sydney.
Akizungumza mbele ya umati wa wanachama wa Labor na mawaziri wakuu wa zamani, Bw Shorten aliweka mfumo wa Medicare katika mstari wa mbele wa kampeni yake ya uchaguzi mkuu.
Share





