Wakati Bw Abbott ana anza wiki ya pili ya mahojiano na vyombo vya habari pamoja naku toa hotuba, Waziri Mkuu Malcolm Turnbull ametangaza ana nia yaku salia madarakani kwa miaka mingi ijayo.
Ukosoaji wa uongozi wa endelea ndani ya vyama vya Liberal na Greens
Picha: AAP Source: Picha: AAP
Waziri mkuu wa zamani, Tony Abbott ame onya chama cha Liberal kuwa kisipo chukua hatua za haraka kita endelea kuvuja wanachama.
Share




