A general view of the flag of The Torres Strait Islands at the Carrara Stadium during day seven of the 2018 Commonwealth Games in the Gold Coast, Australia. PRESS ASSOCIATION Photo. Picture date: Wednesday April 11, 2018. See PA story COMMONWEALTH Athletics. Photo credit should read: Danny Lawson/PA Wire. RESTRICTIONS: Editorial use only. No commercial use. No video emulation.. Credit: Danny Lawson/PA/Alamy/AAP Image
Nchini Australia, unaweza ona bendera tatu zikipeperushwa pamoja: Bendera ya Taifa ya Australia, Bendera ya Waaborijini na Bendera ya Watu wa visiwa vya Torres Strait.
Nchini Australia, unaweza ona bendera tatu zikipeperushwa pamoja: Bendera ya Taifa ya Australia, Bendera ya Waaborijini na Bendera ya Watu wa visiwa vya Torres Strait.
Kwa nini Australia ina bendera tatu? Jibu linaanza na watu wa Mataifa ya Kwanza ya Australia. Wa Aborijini na Watu wa Visiwa vya Torres Strait ni jamii mbili tofauti za Asili za Australia, kila mmoja ikiwa na historia yake, tamaduni, lugha na bendera yake.
Kuelewa ni kwa nini bendera ina maana kubwa kwa watu wengi, inasaidia kuanzia katika Mlango-Bahari wa Torres.