Vilabu 3 vya ligi kuu ya soka ya Australia vyakwama jimboni Victoria, baada ya mpaka wa New South Wales kufungwa.
Mchambuzi mkuu wa michezo wa Idhaa yakiswahili ya SBS, ameweka wazi masaibu yanayo kumba vilabu hivyo.
Share

Published
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Share this with family and friends


