Maelfu waandamana dhidi ya uhamiaji, huku wa Nazi waki chochea vurugu

ANTI IMMIGRATION PROTEST

Protestors during the March for Australia anti-immigration rally in Melbourne, Sunday, August 31, 2025. Source: AAP / JOEL CARRETT/AAPIMAGE

Wimbi la maandamano ya kitaifa dhidi ya uhamiaji yame shuhudiwa katika miji mikubwa ya Australia.


Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Maelfu ya watu wakijiunga katika maandamano hayo ambako makabiliano makali dhidi ya polisi na waandamanaji waliokuwa wakipinga maandamano hayo yalishuhudiwa kote nchini.

Waandalizi wamesema matukio yalikuwa yakiomba mwisho wa wanacho zingatiwa kuwa "uhamiaji usio dhibitiwa" kuingia Australia, wakati makundi yawa Nazi, yali jipenyeza ndani ya matukio kadhaa kuchochea machafuko.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now