Maelfu waandamana kote nchini Australia dhidi ya amri za chanjo za UVIKO-19 na vizuizi

Anti-lockdown and vaccine mandate rally

People rally in Melbourne over vaccinations and lockdown measures (AAP Image/James Ross) NO ARCHIVING Source: AAP

Maelfu ya watu walijumuika katika mitaa ya miji ya Australia, kuandamana dhidi ya masharti ya chanjo na vizuizi vya UVIKO-19.


Maandamano yakupinga maandamano hayo yaliyo laani ‘’ukuaji wa itikadi za mrengo wakulia’’ yali andaliwa pia mjini Melbourne.

Matokeo ya hivi karibuni ya kura ya maoni yanaonesha kuwa uungwaji mkono wa Daniel Andrews umeongezeka, wakati wa janga ila wanao andamana dhidi ya muswada wa janga waliwazidi kwa wingi walio andamana kuunga mkono serikali. Pande zote mbili zime ahidi kurejea mitaani tena katika siku zijazo.

Kwa taarifa na msaada uliopo kwa sasa katika jibu la janga la UVIKO-19 katika lugha yako, tembelea tovuti hii sbs.com.au/coronavirus.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Maelfu waandamana kote nchini Australia dhidi ya amri za chanjo za UVIKO-19 na vizuizi | SBS Swahili