Mahojiano na Shujaa wa Jamii Paul Irungu

Bw Paul Irungu na mshiriki wake Handson Nhanhanga wakiwa ndani ya shamba lao la mahindi Source: Paul Irungu
Katika sehemu ya kwanza ya makala maalum kuhusu mashujaa wa jamii, Bw Paul Irungu alifunguka kuhusu maisha yake nchini Australia, na kazi yake ya uanaharakati katika jamii.
Share