Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Makala leo: Popovic afanya maamuzi magumu akitangaza kikosi cha Kombe la Dunia cha Socceroos

Socceroos - Awer Mabil.

Mabil Awer Source: Anadolu, Getty / Photo by: Stringer/Anadolu Agency via Getty Images

Leo asubui Mwalimu wa timu ya taifa ya Australia Tony Popovic ametangaza kikosi chake cha wachezaji 26, cha Socceroos watakao cheza katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026.


Published

Updated

By Haylena Krishnamoorthy

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Leo asubui Mwalimu wa timu ya taifa ya Australia Tony Popovic ametangaza kikosi chake cha wachezaji 26, cha Socceroos watakao cheza katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Tangazo hili limejiri kwa wakati unaofaa, kwa sababu timu zote 48 zilipewa tarehe ya mwisho ya Juni 1 kukamilisha timu zao.

Na kama ilivyotabiriwa, kuna wachezaji wawili wa kushangaza waliojumuishwa, pamoja na kutokuwepo kwa baadhi ya wachezaji mashuhuri.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now