Raia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepata matumaini mapya baada ya kuanza kwa majaribio ya dawa mbili zinazolenga kuudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Uzinduzi wa tiba hiyo umefanyika katika kituo cha matibabu ya Ebola kilichopo kwenye hospitali moja huko Bunia, katika jimbo la Ituri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Utafiti mpya umegundua kuwa chuki dhidi ya Waislamu nchini Australia imeongezeka sana tangu kuanza kwa vita vya Gaza mnamo Oktoba 2023, huku ongezeko lingine likifuata shambulio la kigaidi la Bondi.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






