Kenya imepokea shehena ya kwanza ya tani 4.5 za vifaa vya matibabu kutoka kwa serikali ya India, ili kuimarisha uwezo wa nchi kujiandaa kukabiliana na uwezekano wa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Shehena hiyo ilikabidhiwa rasmi na Kamishna Mkuu wa India nchini Kenya kwa waziri wa afya wa Kenya Aden Duale katika hafla iliyofanyika siku ya jumatano.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






