Taarifa ya Habari: Hatua ya Marekani kuongeza ushuru kwa mauzo ya nje ya Australia yazua ukosoaji

richard-marles_0.jpg

Utawala wa Trump umeongeza ushuru kwa mauzo ya nje ya Australia kutoka asilimia 10 hadi 12.5, huku kiwango kipya kikianza kutumika alasiri ya leo Ijumaa.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Utawala wa Trump umeongeza ushuru kwa mauzo ya nje ya Australia kutoka asilimia 10 hadi 12.5, huku kiwango kipya kikianza kutumika alasiri ya leo Ijumaa.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Waaustralia wanatarajiwa kujibu maswali 66 yanayo wahusu wao wenyewe na hali yao ya makazi katika wiki chache tu [[Agosti 11]] huku Ofisi ya Takwimu ya Australia ikijiandaa kuanzisha Sensa ya 2026. A-B-S hufanya utafiti huo kila baada ya miaka mitano na kwa kiasi kikubwa utakamilika mtandaoni mwaka huu.

Shirika la afya la Umoja wa Afrika (Africa CDC) linaiomba Marekani kuondoa vikwazo vya usafiri dhidi ya Uganda. Hakuna visa vipya vilivyorekodiwa nchini Uganda tangu Juni 21, na mgonjwa wa mwisho aliruhusiwa kutoka hospitalini wiki iliyopita. Kulingana na Africa CDC , kuiweka Uganda kwenye orodha ya nchi zilizoathiriwa haikubaliki tena.

Hata hivyo, Washington iliongeza muda wa wasafiri kutoka Uganda kuzuiwa Julai 13 kwa siku zingine 30. Jean Kaseya, katika barua kwa Waziri wa Afya wa Marekani, anaona hatua hii kuwa isiyo sawa.

Bofya hapo juu kwa taarifa zaidi.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now