SKIP TO MAIN CONTENT

Makala Leo:'Usibofye kitu chochote':Jinsi barua pepe moja inavyoweza haribu biashara

 Online scams composite
A composite created on Tuesday, June 9, 2026, featuring a young man looking despondently at his computer, with a phishing text message purportedly from a bank displayed on the screen, illustrating online fraud and scam activity. (AAP Image/Susie Dodds) NO ARCHIVING Source: AAP / Susie Dodds/AAPIMAGE

Waaustralia wanapoteza mamia ya mamilioni ya dola kutokana na matapeli, huku matapeli wakizidi kutumia akili mnemba kuwadanganya waathiriwa wao.


Published

Updated

By Sydney Lang, Hannah Kwon

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Waaustralia wanapoteza mamia ya mamilioni ya dola kutokana na matapeli, huku matapeli wakizidi kutumia akili mnemba kuwadanganya waathiriwa wao.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Wiki hii ya Uelewa wa Ulaghai, wataalamu katika uwanja huu wanachangia hatua za tahadhari ambazo watu wanaweza kuchukua ili kujilinda.

Kulingana na Scamwatch, Waaustralia wamepoteza karibu dola milioni 187 kutokana na matapeli mwaka huu pekee. Ingawa takwimu hiyo ni chini ya dola milioni 23 kuliko wakati kama huo mwaka jana, wataalamu wanasema akili mnemba inafanya ulaghai kuwa mgumu kugundua.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now