SKIP TO MAIN CONTENT

Yaliyojiri Afrika:Ujumbe maalum wafuatilia usitishaji mapigano DRC

Afrika kwenye ramani ya dunia.png

Ujumbe wa kwanza wa aina yake umetumwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatilia utekelezaji wa usitishaji mapigano kati ya jeshi la serikali na kundi la waasi la M23, linaloungwa mkono na Rwanda.


Published

By Jason Nyakundi

Presented by Jason Nyakundi, Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Ujumbe wa kwanza wa aina yake umetumwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatilia utekelezaji wa usitishaji mapigano kati ya jeshi la serikali na kundi la waasi la M23, linaloungwa mkono na Rwanda.


Ujumbe huo umewasili mjini Minembwe, jimboni Kivu Kusini, eneo ambalo limekumbwa na mapigano makali katika miezi ya karibuni.

Tume mpya ya rais inayochunguza wahusika wa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania imeanza rasmi kazi, ikiahidi kuwabaini waliopanga, kufadhili na kuratibu matukio hayo. Katika mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Shabani Ally Lila, amesema tume imepewa hadidu tano za rejea.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now