Mchakato mpya wa kipaumbele ambao unaweza fanya baadhi ya raia wa Australia, wasubiri kwa muda mrefu zaidi kwa wenzi wao kupokea visa umesababisha ukosoaji.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Mrundikano wa maombi ya visa umekuwa ukiongezeka huku serikali ya Labour ikikabiliwa na shinikizo la kupunguza uhamiaji wake wa nje ya nchi.
Wahamiaji wengi wanasubiri maelezo zaidi kuhusu mageuzi ya uhamiaji ya Serikali, hofu ikiwa kwamba inaweza kufanya mchakato huo kuwa mgumu zaidi.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






