Australia inajiandaa kuanzisha mfumo mpya wa kitaifa wa tahadhari ya dharura, ulioundwa kutoa tahadhari muhimu haraka na kwa uhakika zaidi wakati wa majanga.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Iwe ni moto wa msituni, mafuriko au kimbunga, maonyo ya wakati unaofaa yanaweza kuwapa watu muda muhimu wa kuchukua hatua.
Kabla ya jaribio lake la kwanza la kitaifa, tunaangalia kwa undani jinsi inavyofanya kazi, kile ambacho Waustralia wanaweza kutarajia na kwa nini baadhi ya mashirika ya dharura bado yana wasiwasi kuhusu uzinduzi huo.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






