Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Yaliyojiri Afrika:Mvutano wakidiplomasia waiubuka kati ya Ghana, Nigeria na Afrika Kusini

Afrika kwenye ramani ya dunia.png

Nigeria imesema itaitaka Afrika Kusini ilipe fidia kwa raia wake acha mali na biashara zao baada yaku kimbia nchi hiyo kutoka na maandamano dhidi ya wahamiaji.


Published

By Jason Nyakundi

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Nigeria imesema itaitaka Afrika Kusini ilipe fidia kwa raia wake acha mali na biashara zao baada yaku kimbia nchi hiyo kutoka na maandamano dhidi ya wahamiaji.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Wakati huo huo, Mvutano wa kidiplomasia umeibuka kati ya Afrika Kusini na Ghana kufuatia madai kwamba raia wa Ghana aliuawa wakati wa maandamano dhidi ya wahamiaji, madai ambayo maafisa wa Afrika Kusini wameyakanusha.

Bofya hapo juu kwa taarifa zaidi.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now