Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Maria atoa mfano kwa wajasiriamali kutoka Kusini Australia

Bi Maria Bubeshi ndani ya kibanda chake katika maonesho ya SANAA 2017
Bi Maria Bubeshi ndani ya kibanda chake katika maonesho ya SANAA 2017 Source: SBS Swahili

SBS Swahili ilizungumza na Bi Maria Bubeshi, mwanzilishi wa kampuni inayo uza vifaa vyenye asili ya Afrika.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


SBS Swahili ilizungumza na Bi Maria Bubeshi, mwanzilishi wa kampuni inayo uza vifaa vyenye asili ya Afrika.


Makao makuu ya kampuni hiyo ni mjini Adelaide, Kusini Australia, ambako Bi Maria hubuni naku unda baadhi ya vifaa hivyo.

Vifaa hivyo vime kuwa maarufu mjini Adelaide ambako Bi Maria aliviwasilisha kwa umati wa watu walio hudhuria maonesho ya sanaa yakiafrika katika barabara ya Eliza, mjini Adelaide, Australia.

Kwa maelezo zaidi kuhusu kampuni na vifaa vya Bi Maria Bubeshi tembelea ukurasa wake wa facebook: Blanka Marie

 

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now