Serikali ya jimbo la Victoria kwa ushirikiano na umma inaongoza kampeni yakuzuia usambaaji wa virusi vya COVID-19 jimboni humo.
Bw Martin ni mwanachama wa jamii ya wakenya wanao ishi Melbourne, katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, alitueleza jinsi jamii yake inakabiliana na hatua kali ambazo serikali imetangaza kudhibiti usambaaji wa COVID-19.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






