Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mazzprints yawasilisha mavazi yakiafrika Kusini Australia

Bi Marie Jane akiwa pamoja na wanamitindo wake katika maonesho ya SANAA 2017
Bi Marie Jane akiwa pamoja na wanamitindo wake katika maonesho ya SANAA 2017 Source: SBS Swahili

Published

Updated

By SBS Swahili

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Makao makuu ya kampuni hiyo ni mjini Adelaide, Kusini Australia, ambako Bi Marie Jane hubuni nakushona mavazi yakiafrika.

Mavazi hayo yame kuwa maarufu mjini Adelaide ambako Mazzprints, iliyawasilisha kwa umati wa watu walio hudhuria maonesho ya sanaa yakiafrika katika barabara ya Eliza, mjini Adelaide, Australia.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mavazi hayo, tembelea tovuti hii:

www.mazzprints.com.au

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now