9 Juni 1975 'Radio Ethnic Australia' ilizinduliwa, ilikuwa jaribio la ujasiri la waziri wa uhamiaji wa wakati huo Al Grassby kwa ajili yakutoa maelezo kuhusu Medibank, ambayo ilikuwa ni tolea la kwanza la tunacho jua leo kama Medicare, kwa wahamiaji katika lugha tofauti.
Kama mtangazaji wenye utofauti mkubwa nchini Australia, shirika la habari la Special Broadcasting Service lina lengo laku wahamasisha wa Australia wote, wachunguze, waheshimu na washerehekee utofauti katika dunia yetu, na kwa kufanya hivyo, watakuza jamii yenye umoja na mshikamano.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.