Michezo katika jamii itakuwa katika hali gani baada yakujeruhiwa na COVID-19?

An empty football field

An empty football field Source: AAP

Janga la Coronavirus limekuwa na madhara makubwa kwa spoti, kuanzia kwa spoti yawataalam hadi kwa spoti katika maeneo ya mashinani.


Je spoti katika jamii itapona janga hili, ama ita imarika katika siku za usoni? na je ushindani katika mchezo utawahi kuwa kama kabla?

Watu wazima wengi wanaweza tazama ujana wao kwa furaha, walipokuwa wakishiriki katika michezo mingi. Kizazi cha leo cha watoto, wataweza tathmini mwaka wa 2020, kama wakati ambapo hawakuruhusiwa kushiriki katika michezo au, kama wakati waliacha kushiriki katika michezo, kwa ajili yakusaidia afya yawa australia wenzao.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu janga la coronavirus kwenye tovuti hii: sbs.com.au\coronavirus.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Michezo katika jamii itakuwa katika hali gani baada yakujeruhiwa na COVID-19? | SBS Swahili