mfanyakazi ambaye ni mhamiaji atengeza waya za umeme ndani ya jengo Source: SBS
Kuna wastani wa wahamiaji wa muda milioni mbili hapa Australia kwa sasa, wakati uchumi ukizorota na mishahara inateteleka, uwepo wao umezidisha suala hilo kuwa la kisiasa.

Lakini, ripoti mpya imegundua kuwa wahamiaji hao hawaathiri ajira au mishahara ya wafanyakazi nchini humu.