Sekta ya shule zaki katoliki na shule huru zita faidi kutoka uwekezaji wama bilioni ya dola, baada ya serikali ya shirikisho kutangaza mageuzi kuhusu jinsi itakavyo hesabu utajiri wa shule.
Ila wakosoaji wamesema uwekezaji huo, ni kama "hongo", kuhakikisha shule hazi fanyi kampeni dhidi ya serikali katika uchaguzi mkuu mwaka kesho.
Mwaka ujao, shule huru naza kikatoliki, zitapokea uwekezaji wa dola laki moja elfu sabini.
Maelezo ya ziada kuhusu uwekezaji huo, yata tolewa Disemba katika tathmini ya bajeti ya kati ya mwaka.
Share






