Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Hatua zaku vunja tume inayo fuatilia usalama wa barabarani wakosolewa

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull akiwa pamoja na Waziri wa Ajira  Michaelia Cash
Waziri Mkuu Malcolm Turnbull akiwa pamoja na Waziri wa Ajira Michaelia Cash Source: AAP

Chama chawafanya kazi kinacho wakilisha madereva wama lori nchini Australia, kime kosoa mipango ya serikali ya Turnbull, kuvunja tume inayo shughulikia maswala ya usalama barabarani.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Chama chawafanya kazi kinacho wakilisha madereva wama lori nchini Australia, kime kosoa mipango ya serikali ya Turnbull, kuvunja tume inayo shughulikia maswala ya usalama barabarani.


Wiki jana Waziri Mkuu Malcolm Turnbull ali ahidi kwamba, iwapo serikali ya mseto ita fanikiwa kupata ushindi katika uchaguzi mkuu ujao, serikali yake ita vunja mahakama ya mapato na usalama wa barabara. Uamuzi huo ume fuata hasira iliyo zuliwa na uamuzi wa tume hiyo, kuhusu mapato ya wamiliki ambao pia ndiwo madereva wamalori wanayo miliki.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now