Maelfu yawa Australia wame tumia anga au barabara, baada ya mpaka kati ya jimbo la New South Wales na Victoria kufunguliwa tena, baada ya takriban miezi mitano au siku 137.
Hatua hiyo imejiri katika wiki ambapo jimbo la Victoria, linasalia na siku nne tu, kufikia ufafanuzi rasmi wakutokomeza COVID-19 katika jamii.
Na unaweza endelea kupoea taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus
Share






