Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Moto wasababisha hali ya dharura jimboni New South Wales

Bushfires in NSW and QLD

Muaj 2 tug neeg tua hlav taws tseem tswj ib kob hav zoov kub hnyiab ntawm xeev NSW thiab Qld rau lub caij hav zoov kub hnyiab ntawm 2 lbu xeev no (AAP) Source: AAP

Mamlaka inaonya jamii zijiandae kwa mazingira tata yatakayo jiri jumanne katika sehemu za New South Wales.


Published

Updated

By Stephanie Corsetti

Presented by Gode Migerano

Source: SBS




Share this with family and friends


Mamlaka inaonya jamii zijiandae kwa mazingira tata yatakayo jiri jumanne katika sehemu za New South Wales.


Huduma ya moto ya vijijini imetoa onyo kali kuwa nyumba na maisha yatakuwa hatarini, wakati wakazi wana elekeza fikra zao kwaku weka sawa mipango yao yakukabiliana na moto wa vichaka.

Wanao kabiliwa kwa hali ya dharura na hawawezi ondoka, wanastahili tambua sehemu salama iliyo karibu yao, ambayo inaweza kuwa sehemu ya jamii kukutania inayo julikana kama sehemu salama yama jirani.

Marufuku kamili ya moto, yametolewa kwa siku ya Jumanne jimboni New South Wales.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now