Mpango huo ulijiri wakati serikali ya shirikisho ina zindua wiki ya kitaifa ya ujuzi, kukuza chaguzi kwa mafunzo ya muda mrefu kwa wa Australia wakati kuna endelea kuwa uhaba wa ujuzi.
Kwa wale ambao wanatoka katika jumuiya zawa hamiaji na wakimbizi, fursa ya ustadi ime onekana kama ukurasa mpya wakusisimua katika maisha yao nchini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.