Wanasema siasa hutengeza wenza wa ajabu, na bunge la 48 limejaa wenza hao.
Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Baada ya uchaguzi mkuu wa Mei, Canberra ina karibisha wanasiasa 40 bunge la taifa linapo anza vikao hii leo Jumanne.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





