Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu ataka chama cha Labor, kijitolee kupunguza shinikizo za gharama ya maisha

ANTHONY ALBANESE PRESSER
Australian Prime Minister Anthony Albanese. Source: AAP / LUKAS COCH/AAPIMAGE

Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesisitiza kujitolea kwa chama chake kupunguza shinikizo la gharama la maisha katika mkutano wa kitaifa wa chama tawala.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesisitiza kujitolea kwa chama chake kupunguza shinikizo la gharama la maisha katika mkutano wa kitaifa wa chama tawala.


Shirika linalo wakilisha wazazi jimboni Victoria linahimiza Chama cha Elimu cha Australia na serikali ya jimbo kufikia makubaliano kuhusu mazungumzo marefu ya mishahara, huku maelfu ya walimu wakigoma mjini Melbourne. Katika barua pepe kwa wanachama, shirika hilo linasema jamii za shule zimechoka na kutokuwa na uhakika, likitaka makubaliano ambayo yanathamini ipasavyo elimu ya umma kupitia mishahara ya ushindani na mzigo wa kazi unaoweza kudhibitiwa.

Mahakama ya Paris imethibitisha siku ya Ijumaa usiku kuamkia Jumamosi kifungo cha miaka 27 jela dhidi ya daktari wa zamani wa Rwanda Eugène Rwamucyo, ambaye alikuwa akishtakiwa tena kwa kuhusika kwake katika mauaji ya kimbari ya Watutsi nchini Rwanda mwaka 1994, chanzo cha mahakama kimesema siku ya Jumatatu.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now