Chama cha upinzani kime chukua hatua ya kuwavutia wapigakura kutoka jumuiya ambazo kiingereza si lugha yao ya kwanza.
Chama cha Labor kime andaa video ambazo zime jumuisha maneno katika lugha tofauti, lengo likiwa kuvutia jumuiya katika maeneo ambayo wabunge hawana ushawishi mkubwa.
Share





