Musoni: Mradi wa GLAPD wakuwasaidia waathiriwa wa COVID-19 unaendelea

Emmanuel Musoni, kiongozi wa shirika la GLAPD International

Emmanuel Musoni, kiongozi wa shirika la GLAPD International. Source: Mireille Kayeye

Shirika la GLAPD International, limewafungulia mlango wanafunzi wakimataifa na wahamiaji, ambao hawafuzu kupokea msaada kutoka serikali ya shirikisho wakati huu wa janga la COVID-19.


Kiongozi wa shirika hilo Bw Musoni alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, jinsi waathiriwa wa COVID-19 wanavyo faidi kutoka huduma ambazo shirika lake inatoa.

Kwa taarifa ya ziada kuhusu miradi ya misaada ya shirika la GLAPD International, tembelea tovuti yao: www.glapd.org.au


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service