Nakango Vision yawapa wanawake fursa zakupata ujuzi mpya

Mwanafunzi apokea mwelekezo katika darasa la shirika la Nakango Vision

Mwanafunzi apokea mwelekezo katika darasa la shirika la Nakango Vision Source: Nakango Vision

Shirika la Nakango Vision hutoa aina mbalimbali ya misaada kwa jamii zenye tamaduni mbalimbali nchini Australia.


Wakati huu wa janga la corona pamoja na vizuizi ambavyo mamlaka wame weka kukabili usambaaji wa virusi hivyo katika jamii, mashirika kama Nakango Vision yana fursa yakipekee kuregeza pigo ambalo jamii nyingi zimepokea kupitia vizuizi vyakukabiliana na COVID-19.

Nava Azu Ozegbe ndiye rais wa shirika la Nakango Vision, katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, aliweka wazi hatua ambazo shirika lake limechukua kuhakikisha jamii inayo tegemea msaada wa shirika lake inaendelea kuhudumiwa.

Kwa taarifa ya zaida kuhusu shirika la Nakango Vision tazama tovuti yao: www.nakangovisions.org


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Nakango Vision yawapa wanawake fursa zakupata ujuzi mpya | SBS Swahili