Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Ni kwa nini ujuzi wakuogelea ni mhimu kwa wa Australia wote?

Mafunzo yakuogelea ya watu wazima

Mafunzo yakuogelea ya watu wazima Source: Getty Images/kali9

Kujifunza kuogelea huenda haitakuwa kipaumbele unapo anza maisha yako Australia.


Hata hivyo, uhalisia ni kwamba watu ambao wali zaliwa nje ya Australia, wame wakilishwa zaidi ya watu wengine katika takwimu za watu ambao wame zama majini kila mwaka.

Nchini Australia, kuogelea ni ujuzi mhimu wa maisha. Kujifunza kuogelea katika umri wowote, kunaweza kusaidia kukuzuia kuzama ila pia, ujuzi huo unaweza kusaidia kulinda familia yako naku kusaidia kushiriki kwa kujiamini katika maisha ya Australia.

Kwa taarifa zaidi kuhusu mradi wa swim for life, tembelea tovuti hizi austswim.com.au au royallifesaving.com.au.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now