Ni nani atashinda katika kinyang'anyiro cha tuzo za muaustralia wa mwaka wa 2020?

Muasutralia wa mwaka wa 2020 Profesa Munjed Al Muderis atoa hotuba katika sherehe ya tuzo hizo. Source: AAP
Mwaka huu unahitimisha miaka 60 ya sherehe za kila mwaka za tuzo za muastralia bora.
Share