Victoria itakuwa jimbo lakwanza nchini Australia kuwasilisha amri yalazima kuvaa barakoa, wakati jimbo hilo linajaribu kudhibiti maambukizi ya COVID-19 ndani ya jamii.
Ila, tangu mwanzo wajanga hilo, zaidi ya nchi 100 zimetekeleza sera inayo waelekeza raia wao kuvaa barakoa.
Je ni kwanini Australia imechukua hatua hiyo sasa hivi?
Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii sbs.com.au/coronavirus
Share






