For many in Australia, turning 18 coincides with the end of formal schooling. Credit: Getty Images/FatCameraJe! kuwa mtu mzima kuna maanisha nini katika hali ya vitendo?
Published
Updated
By Zoe Thomaidou
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Je! kuwa mtu mzima kuna maanisha nini katika hali ya vitendo?
Kuanzia umri wakisheria, hadi malipo ya jamii pamoja na kufikia alama za umri, utu uzima unaweza leta mageuzi mhimu.
Ki sheria, wa Australia huzingatiwa kuwa watuwazima wanapo fikisha miaka 18.