Rais Barack Obama wa Marekani amempendekeza Hillary Clinton kuwa mrithi wake rasmi ndani ya Oval Office, White House.
Rais Obama amesema anatazamia kushiriki katika kampeni ya uchaguzi kwa niaba ya waziri wake wakigeni wa zamani.
Licha ya tangaza hilo, mpinzanzi mkuu wa Hillary Clinton katika chama cha Democrats Bw Bernie Sanders bado haja sitisha kampeni yake ya uchaguzi mkuu.
Share





