Wandamanaji wana dai kupinga uamuzi wa mahakama ya kikatiba mapema mwezi huu kwamba rais Joseph kabila atasalia madarakani baada ya mda wake kukamilika iwapo uchaguzi hautafanyika mwishoni mwa mwaka huu na pia kulaani mauaji katika wilaya ya Beni.taarifa za hivu hivi punde za sema watu wanne wamefariki dunia mjini Goma wakiwemo askari polisi wawili.
Vyama vya upinzani vyaongoza maandamano Bukavu na Goma, DR Congo
Waandamanaji wajumuika mitaani dhidi ya uongozi wa Rais Joseph Kabila wa D R Congo Source: Getty Images
Share