Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Wiki ya pili ya kampeni ya uchaguzi mkuu yazua changamoto kwa viongozi wa vyama vyaki siasa

Kiongozi wa Upinzani Bill Shorten akiwa katika harakati za kampeni ya uchaguzi mkuu
Kiongozi wa Upinzani Bill Shorten akiwa katika harakati za kampeni ya uchaguzi mkuu Source: AAP

Katika siku ya pili ya kampeni za uchaguzi mkuu nchini, Waziri Mkuu na kiongozi wa upinzani wame tumia mbinu tofauti kuuza ujumbe wao waku imarisha uchumi pamoja naku kuza ajira nchini Australia.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Katika siku ya pili ya kampeni za uchaguzi mkuu nchini, Waziri Mkuu na kiongozi wa upinzani wame tumia mbinu tofauti kuuza ujumbe wao waku imarisha uchumi pamoja naku kuza ajira nchini Australia.


Malcolm Turnbull amesifia sekta ya ujenzi ya mashua yenye thamani kubwa katika ukanda wa magharibi ya nchi, wakati Bill Shorten ame ahidi wafanya kazi katika sekta ya magari kuwa siku za usoni ni chanya katika sekta hiyo.

Hii hapa taarifa tuliyo waandalia.

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now