Bw Patrick ambaye ni mmoja wa waandishi wa kitabu cha: Survivors Uncensored ali eleza SBS Swahili aliyo elezwa na jamaa na marafiki kuhusu yaliyo wafikia wapendwa wake wakati wa mauji ya kimbari ya 1994 nchini Rwanda.
Kitabu hicho kina zaidi ya hadithi 100 zinazo husu matukio waliyo shuhudia kabla, wakati na baada ya mauaji ya kimbari ya 1994 dhidi ya jamii yawa Tutsi nchini Rwanda.
Iwapo ungependa soma kitabu bonyeza hapa: https://www.amazon.com/SURVIVORS-UNCENSORED-TESTIMONIES-PRE-RESILIENCE/dp/B0B5KQSKQ8