Bw Turnbull anashinikizwa na chama cha Nationals awaongezee wizara katika serikali mpya, pamoja nakuwapandisha vyeo wahafidhina wachanga pamoja naku rudia sera ya mabadiliko kwa malipo ya uzeeni kwa watu wenye mapato ya juu.
Hata hivyo Bw Turnbull anaendelea kukaribia kupata wabunge wakutosha kuunda serikali bila msaada wa vyama vingine, wakati ushindani mkali na wakaribu unaendelea katika hesabu ya matokeo ya uchaguzi mkuu katika viti vya Hindmarsh, Herbert na Capricornia.
Share





